African Press International (API)

"Daily Online News Channel".

MUSIC WORLD: Ras Nas Music hotting up – Check it out on youtube and watanzania oslo blogspot

Posted by African Press International on August 12, 2008

Posted by Hassan Nganzo
Subject: Vs: Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi awasha moto wa kiutu-uzima!

Mwanaharakati, msanii na mwanamuziki wa ki-Tanzania, Ras Nas au Nasibu Mwanukuzi amewasha moto wa kiutu-uzima kwenye fani ya muziki Norway kwa kuwa msanii mwa-Africa wa kwanza nchini humo kupata nyota tano kwenye marudio ya albamu yake Dar-es-Salaam toka gazeti kubwa la Dagsavisen. Hii inadhibitisha kwamba wabongo nao tupo!

Soma zaidi kwenye blog ya Watanzania Oslo hapa

http://watanzaniaoslo.blogspot.com/

Ukitaka kuangalia shoo live ya Ras Nas unaweza kubonyeza Youtube:

http://www.youtube.com/user/rasnas55 (hapa kuna video tatu: 1.River Nile 2. Dar-es-Salaam na 3. Guantanamo)

Asanteni,

Kongoi Productions

www.kongoi.com

————————–

Published Korir, Chief Editor,African Press International – API

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

 
%d bloggers like this: